Natafuta mtu wa Graphic designer, web designer pamoja na app creator

Emmanuel041

Senior Member
Dec 4, 2017
109
115
Habar Zenu wana Jamii ??

Smatskills.com inatafta Wataalamu wa kufanya GRAPHIC DESIGNER, WEB DESIGNER Pamoja na APP CREATOR Kama Unaweza Kazi hio au Unafahamu jamaa ndugu na Rafiki anayeweza Kufanya kazi tajwa hapo juu tafadhari Wasiliana nasi kupitia
Email: Smatskillstanzania@gmail.com


Note: Hakikisha Unakuja Ukiwa na Vigezo Vyote kumbuKa kuambatanisha Kazi ulizofanya.

Vigezo na Masharti Kuzingatiwa.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom