Natafuta mtu mwenye kibali cha kudafirisha mbao kutoka rufiji kwenda dar

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
4,175
6,233
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza. Kuna kipindi nilijenga banda langu nikanunua mbao ikwiriri nikatafuta mtu mwenye kibali akanisafirishia. Ila ss naona gemu tight....ila kama kuna mtu anakibali plz aje pm tuzungumze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom