Natafuta Mtu/Kijana wa kuuza Chips. Eneo la kazi ni Mkoani Morogoro

Glas

JF-Expert Member
May 30, 2016
1,244
1,180
Habar zenu wadau,

Naandika ujumbe huu ikiwa ni very urgent nahtaji mtu wa kuniuzia banda la chipsi.

Nilikuwa nafanya mwenyewe ila korona ilipoisha nimerudi kazini sasa sina Mtu kabisa na eneo lilishaanza kuchangamka na wateja ni uhakika.

Maeneo ni Morogoro Lukobe
aliye na mtu au yuko tayari basi anichek kwa Private Message (PM)

Natanguliza shukurani
 
Buku jero mara thelathini ni shilingi elfu 45 mara miezi 12 ni sawa na laki 5 na elfu 40. Najua nikifanya kazi hii kwa mwaka mzima napata mtaji.

Sema sijui kukaanga chips labda kama ni kuuza tu
 
Asante kaka....ila ungeweza kunishaur badala ya kunitukana!
Asee Jamaa jaribu kua serious kidogo. Kabisa mtu anafanya kazi zaidi ya masaa 10 unampa 1500! Afu unasema chakula juu yako. Yaani ni sawa na kumhesabia housegirl gharama za chakula.

Kwa Kima cha chini wale wamenya viazi hulipwa 5000.

Kabla hujaingia kwenye biashara fanya tafiti kwa wanaofanya hiyo biashara
 
Pia ungeweza niuliza nikakujibu vzur kaka...ila shida ulweka na ukaiamn akil yako kwamba unalowaza ndilo sahihi...hilo eneo la kufanyia hyo kazi ni kuanzia saa8 moka saa2 usiku tu....si zaidi ya hapo so ungeweza nishaur labda niongeze ngap but si vile asee...wakat najiunga JF niliambiwa ni great thinkers and helpers sio matusi bro....
 
Kabla hujaingia kwenye biashara fanya tafiti kwa wanaofanya hiyo biashara[/QUOTE]

unahis sjafanya utafiti bro....au unadha anayeuza chips mliman city ni research yake ni sawa na kwa mtogole?
 
Back
Top Bottom