Natafuta mtu anayeweza kutengeneza App ya simu

KABAKA28

Senior Member
Jun 18, 2014
197
188
Nina project idea, ambayo naiona one day naweza kuwa kwenye list ya Billionaires.
1. Graduate UDOM
2. Former employee UDSM
3. Research assistant (projects)

Kwa sasa nimejiajiri but nina idea inaniumiza kichwa kila kukicha.

Naomba mtu mwenye uwezo wa kutengeneza app ya simu tuweze kushirikiana kwa makubaliano maalumu au atengeneze alafu aniuzie hiyo App.

Au kama kuna mtu anawafahamu watu wanao fund project ideas za IT, anicheki please. Nimejaribu kwenda kwenye maofisi mbalimbali nimeishia getini kwa walinzi, nikijitahidi sana naishia kwa Ma secretary.

PM me kama upo serious, sitaki matapeli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom