Natafuta mtu anayeweza kulima kilimo cha muda mfupi (mboga mboga) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mtu anayeweza kulima kilimo cha muda mfupi (mboga mboga)

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by bagamoyo1, Jan 10, 2012.

 1. b

  bagamoyo1 Member

  #1
  Jan 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mimi ni mjasiria mali , nimebahatika kila ninachofanya kinafanikiwa lakini siwezi kufanya kila kitu mwenyewe inabidi vyengine niwashirikishe watu , ninashamba kubwa hapo kiromo bagamoyo na ninafuga ngombe 80 ,mbuzi 20 kuku bata .

  natafuta partner kwenye kilimo cha mbonga mboga , nitatowa ardhi , mbolea ya kinyesi cha ngombe na nitamchimba kisima kwa ajili ya umwagiliaji nitatowa generator kwa ajili ya kuyavuta maji ,

  yeye awe na taaluma ya kilimo au mzowefu wa kulima kwa muda mrefu , itakuwa vyema kama ni mtaalamu wa (horticulture )
  awe na uwezo wa kuja hapo shamba na kujituma , mchango wake utakuwa ni kuweka petrol ya kupampu maji na kulipa gharama za kulima na usimamizi baada ya gharama hizi tukivuna tunagawana faida niko tayari kumpatia aslimia 60% na ninalo soko na mazao kama kama nyanya , biringani, spinach , pili pili hoho , bamia ,maharage kijani , saladi matunda ya peshen na kadhalika

  kwa mawasiliano ya awali karibu ukumbini hapa
   
 2. che wa Tz

  che wa Tz JF-Expert Member

  #2
  Jan 13, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu vp, nilipost hapa lakini naona Kimnya, nilikuwa nahitaji sana hii nafasi
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Jan 13, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Hapo mbona unatutisha?
   
 4. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #4
  Jan 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35

  Dah!! Mzee, Mbona unatupa Offer ya shughuli na Mikwara Juu!
   
 5. b

  bagamoyo1 Member

  #5
  Jan 15, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wanaseam ulimi hauna mfupa , sasa hapa sijuwi ni vidole au macho hayakuona ??? NITACHIMBA KISIMA karibuni bagamoyo shambani kwangu hungongei mvua bali unaamua umwagiliaje mmea wako
   
 6. M

  Mzee Mukaruka JF-Expert Member

  #6
  Jan 21, 2014
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 254
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Bagamoyo1 hili lilikuwa bonge la offer! Ilikwenda vipi, nina hamu tuya kujua namna Waswahili tulivypokea offer hii; ni ya zamani lakini imenivutia kutak kujua feedback ilivyo kuwa na maendeleo baada ya hapo. Samahani kwa kukurudisheni nyuma sana wana JF.
   
 7. c

  concSULPHURICacid Member

  #7
  Jan 24, 2014
  Joined: Nov 1, 2013
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi niko tayari,ni mkulima wa muda mrefu wa nyanya,spinach,chainiz,pilipili hoho,matango,karoti,bamia,mchcha nk..nichek kupitia 0653855285
   
 8. c

  concSULPHURICacid Member

  #8
  Jan 24, 2014
  Joined: Nov 1, 2013
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  0653855285
   
Loading...