Natafuta mtu anayeweza kufanya online marketing

benny gilbert

Senior Member
Jul 4, 2018
110
65
Hello JF.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.

Natafuta mtu wa anaweza kufanya online marketing, awe anafanya UDALALI WA FURNITURE AMBAZO NITAKUWA NATENGENEZA. MFANO WA FURNITURE NI KAMA ZIFUATAZO

KABATI LA WAZI NI 100K, STAND YA VIATU 50K, MEZA 50K.

VITU VYOTE VIPO YOMBO - MSIKITI WA MALAWI

PIGA 0755429928

F1.jpg

F2.jpg

F3.jpg

F4.jpg

F5.jpg

F6.jpg

F7.jpg
 
Kazi nzuri ila shida ya mafundi ni uaminifu wa kumaliza kazi baada ya kula advance,bidhaa zipo teyari au ni za kuagiza?? Na je hiyo bei inainclude mpaka rangi au hapo ndo mwisho??
 
Back
Top Bottom