Natafuta mtu ambae atakuwa ana post kwenye blog

Nakupm mkuu mim ni mzoefu over 6yrs kenye industry i have done both adsense n propeller na zingine
 
Hello fr
Nina website yangu ambayo nilitengeneza ili kujifurahisha tu pind sina muda wa kufanya.

Kwakuwa nilikuwa sina goal nayo nilianza kuweka mambo hvyo hvyo ila mwisho wa siku nikaamua niweke mayangazo ya adsense.

blog hii inaweza kunilipa sana tu sema huwa si prome au kutumia machapisho mara kwa mara.

Naweza kupata $10 kwa siku moja maana watembeleaji si wengi ila ningekuwa na nawatembeleaji kama 50 kwa siku huakika wa $ 50 upo kwa siku na kuendelea.

Nilikuwa na wazo la kuiptomote ila hakuna vitu vya kuifanya ni promote labda ningekuwa na posts kama 200.

Kwaiyo sasa natafuta mtu ambae atakuwa ana post kwenye blog na mimi niwe napromote kweny social media ili kupata watembela wengi na kukusanya pesa zaidi.

Ila machapisho yanatakiwa lugha ya kingereza na machapisho mchanganyiko.

Unaweza kutafuta vitabu vya biashara, afya na mengine ili kuchapisha kwenye blog.

Machapisho kumi kwa siku yanafaa sana na pia tunaweza kujadili mambo mengine kuhusu blog hata kubadili domain ila lengo tu ni matangazo yawepo ili kupata pesa.

DM for more info
😂😂😂😂watembeleaji 50 kwa siku 50 dollars!!
Daaah iv google AdSense ni baba zako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tukienda na mwendo huu ntaacha kutumia jamii forum maana tunatiana kamba vitu vya Waz kabsa😂😂😂
 
Back
Top Bottom