Natafuta mtaalamu wa mambo ya mahusiano, matatizo yangu ni makubwa, tafadhali nisaidieni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mtaalamu wa mambo ya mahusiano, matatizo yangu ni makubwa, tafadhali nisaidieni

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ashangedere, Jul 13, 2011.

 1. A

  Ashangedere Senior Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni wife niliyewahi kutendwa mno na hubby wangu for the past 5 yrs yani alikuwa hasikii wala haoni kifupi hakunijali hata, na mungu alinijalia moyo wa kuyavumilia mengi mno(cheating zaidi) japo niliambulia ulcers na BP na wala hakujali. sasa ukafikia wakati mwanzoni mwaka huu moyo ukakataa kabisa yani najitahidi kuwa na hisia za mapenzi na huyu mme wangu lakini wapi yale yote ya nyuma yanajirudia!! sasa ndio kashtuka na mimi moyo umegoma kabisaaaaa yani yeye ndio amekuwa kama mimi nilivyokuwa zamani yani hatulii kwa wivu na kuumwa roho lakini mimi mapenzi kushney nikimuangalia najiuliza hivi nilimpendea nini?? namuonea huruma anavyohangaika lakini roho yangu haitaki tena, nahitaji mtaalamu anishauri sijui kama nataka hii ndoa au siitaki kifupi sijielewi ila najua kuwa mapenzi ya hisia kutoka kwangu kwenda kwa mwenzangu hakuna, japo simchukii namuona kama ndugu yangu hivi.

  UPDATE:
  Baada ya hapa nilipata vituko zaidi vya huyu bwana, mambo ya wanawake na nikamface na kumueleza live kuwa simfeel tena kila mtu akae chumba chake, tulikuwa wawili tu, basi niliambulia kipigo mwenzenu na ndugu zangu walipoingilia wakatukananwaaa ukoo wote. kwa hiyo issue imekuwa kubwa ndugu zangu hawampendi na wananiambia niondoke ataniua na kipigo au ukimwi. Kama kawaida yake kawa tena mpole na kulia juu anadai harudii tena kunipiga ni kama mara ya nne hii katika hii miaka 5. yani kawa mpole anajifanya baba wa familia, lakini mimi nahisi kipato ndio kinachangia aogope kuachana na mimi kwani hapo nyuma kipato changu kilikuwa kidogo na tulikuwa tukigombana tu ananiambia kama vipi tuachane, sikuhizi maisha yetu yamebadilika sababu ya kipato changu tuna mahitaji yote muhimu kwa maisha ya dar nyumba gari etc basi nahisi labda anaogopa maisha ya peke yake na ninamuonea huruma kwa hilo kwani kipato chake kidogo sana. Zaidi mwenzangu huyu ni muongo katika mambo mengi na anakopakopa hovyo halafu halipi nakuja kudaiwa mimi , lakini kizuri anawapenda wanae sana kuongea nao kucheza nao na yeye wanampenda sana na ndio kitu kinanifanya nisite kuamua. JE kunauwezekano wa mimi kuishi nae nyumba moja lakini kila mmoja awe na chumba chake kisheria? sitaki kutengana nae kwani yeye atapata tabu na watoto pia, pia nimekubali siwezi kumchunga na ninataka afanye mambo yake kwa uhuru ila asiniletee wanawake hapo nyumbani, tatu hiyo italeta amani kwani mimi nitakuwa happy sababu simfeel kimapenzi tena na yeye pia, ushauri tafadhali.
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,680
  Trophy Points: 280
  Kuna huyu mama sina uhakika kama hii email ila jaribu kuwasiliana nae kama iko sawa anaweza kukusaidia,amkindi2000@yahoo.com!
   
 3. M

  MORIA JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  pole sana kwa yote yaliyokukuta ingawa mimi si mtaalamu wa mahusiano..,kama amerudi nawe umeamua kumsamehe samehe kabisa na siyo nusu..,jichunguze unaweza kuta huku kujiona kwako sasa ndio kulimfukuza mara ya kwanza..,kumbuka roho kuuma na wivu kupita siyo mapenzi huo waweza kuwa uchungu utokanao na hatia..,fine umevumilia 5yrs yawezekana Mungu amejibu je unataka jibu zaidi ya hilo..,unamuonea huruma ni symptom ya upendo wa ndani huo.., usitafute walimu walimwengu wao wamejaa visasi ili kesho wapate cha kusema..., soma biblia na kitabu TENDO LA NDOA by tima and baverly lahaye
   
 4. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #4
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160

  • hukumbuki ulimpendea nini.
  • Roho yako haitaki tena,
  • wamuona kama nduguyo....
  madhali unasema yeye angali anakupenda,....endelea kujihifadhi kwanza na "jini likujualo...!"
  Utapokuwa tayari, ongea nae ukweli wako.
   
 6. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #6
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Achana na huyo Bwana hata kama akijiua. Mtu ambaye alikuwa akikusumbua hupaswi kuendelea kumbembeleza. We tafuta kidume kingine ambacho utakuwwa unakipenda kikupe raha. Usijinyime raha maisha ni mafupi ndg yangu. Habari ndo hiyo. Kama vipi tukutane kwenye private.
   
 7. s

  shalis JF-Expert Member

  #7
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 272
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole dia embu sema na moyo wako kwa muda wa wiki nzima,then jipe muda amani ya bwana iamue ndani yako
   
 8. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #8
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  tatizo ni kubwa jaribu kufuta hasira zako,
  pia mwambie ukwel ili mjue mnawezaje kurudisha penz lenu la zaman
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,647
  Likes Received: 1,437
  Trophy Points: 280
  sasa muda wote huo ulikua mtawa?
   
 10. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #10
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Jaribu kusubiri moyo wako uamue na siyo mtu akushauri kuamua..Usichukue maamuzi ya haraka..time will tell! Kuwa na subira moyo wako utaamua wenyewe..
   
 11. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #11
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  kama wakati unatendwa ulivumilia wakati amejirudi unashindwa nini kuyasahau ya nyuma?
   
 12. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,438
  Trophy Points: 280
  Pole sana.
   
 13. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #13
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  pole sana.... Jaribu kujilazimisha kuwa nae mara kwa mara.. Itarudi polepole na Utampenda zaidi..... Pole Mama...
   
 14. Dr. Love Pimbi

  Dr. Love Pimbi Member

  #14
  Jul 13, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pole sana Ashangedere. Mapenzi siyo Linear Equation kwamba siko zote yatakuwa ni Tambarare. Kwenye Mapenzi kuna Ups and Downs Nyingi sana ila Nakushauri Uwe Mtulivu naamini Jibu litakuja. Take a Vacation with your Hubby sehemu yenye Utulivu na Mkatafari yale mazuri yaliyowahi kutokea kwenye Relation yenu na Myazike yake Mabaya muanze Upya. Give him the Second Chance

  Dr. Love
   
 15. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #15
  Jul 13, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  when a woman is fed up
   
 16. Jomse

  Jomse JF-Expert Member

  #16
  Jul 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana mdada,unatakiwa kumsamehe kabisa na jaribu kutoa mauchungu yote yaliyoko moyoni mwako.Pia jaribu kutafuta jambo jema na zuri alilowahi kukufanyia hasa ule upendo uliokuwepo kabla ya ndoa.Amebadilika kwa sababu amekwishatambua amekukosea sana ila tu hawezi kusema samahani.
   
 17. Nyamgluu

  Nyamgluu JF-Expert Member

  #17
  Jul 13, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 3,147
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  aint nothin u can do bout it.
   
 18. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #18
  Jul 13, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Pole sana. Km amejirudi nawe rudi anzeni upya na km wakati ana run huko nje na wewe ulijipatia m2 wa kukusitiri bs lazma umuone km kakako so acha ya nje focus kwake kwa sasa kwa kupiga moyo konde na anza kufikiria yaliyo mazuri toka kwake, achana na huyo anaekufanya umuone si ki2 then anza kumuangalia kivingne. Jikaze cku moja akija toka either job, mkumbatie, mkiss, ongea nae vizuri kwa adabu, kuleni pamoja then ogeni pamoja km mazingira yanaruhusu then nenda kamuonyeshe ufundi wako kitandani ukimaliza hayo mweleze how much u love him na jinsi anavyokutesa. Mwambie pamoja na yote yaliyotokea ucku huo uwe ndio mwanzo mpya wa pendo lenu, i knw atarepent, nawe umsamehe na utakuwa huru ktk nafsi yako. Unajua Wanaume ni watu ambao wakioneshwa pendo kidogo tu hubadilika sana so kwa vile ameanza kuchange ukifanya na hayo bs atakuwa gud boy daima. Gv him chance and gv urself chance too cuz i knw u hv sm feelings toward him though its little make it to grow! Km wewe ni Mkristo, unajua ukishaolewa bs ukiachana nae ndio mwisho wa kuolewa then kwa nini umwache uliemzoea na kwenda kuanzisha mahusiano mapya yasiyo na u2kufu? Mpe nafasi, mpende, na mheshimu, ji2nze na anza kumwangalia kwa jicho zuri, mambo yatakuwa ok. AMINI NOBODY CAN MAKE U BAD, MAD, SAD OR GLAD BT WE CHOOSE WHAT TO BE SO ITS UR CHOICE TO LOVE OR REJECTING HIM.
   
 19. k

  kisukari JF-Expert Member

  #19
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,766
  Likes Received: 1,055
  Trophy Points: 280
  tatizo jamii yetu hata kama huna mapenzi na unaeishi nae{hasa kama ni mume au mke}utaendelea kukaa nae tu hivyo hivyo.ni ngumu mno ki ukweli kama moyo umeshakufa ganzi,ila kama upo tayari kuendelea nae,haina haja ya kumuona mtaalam.mtaalam ni wewe mwenyewe.ukitaka kuyaweka mambo sawa,utayaweka tu,kwa kuwa huyo bwana ameshajirudi.kaa chini umueleze ukweli maybe na yeye atakusaidia kwani mwenyewe umesema anajitahidi.itachukuwa muda mrefu kuwa ok na huyo m.me,toa kinyongo katika roho yako,jirudi taratibu
   
 20. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #20
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pole sana lkn navyojua mie jaribu kukaa nae na kuongea kwa UPOLE tu, wala usiwe na papala maana hapo kunaweza tokea ugomvi kati yako na yeye pia sise wanaume wengi hutaka wewe uwe REASON (epuka hilo), halafu chunguza kwa nini kabadirika? Some reasons must be thur....1.Either katendwa kwa nyumba ndogo 2.Kuna mtu kamzidi kete so anaona ngoja arudi kujipoza. 3.Cash imeshuka kiwango(Crisis)...ukijua sababu mojawapo ya hizo ujue akirudi inakuwa ni mara dufu.......Omba kwa sasa uende kwenu likizo kidogo kama unafanya kazi omba likizo kazini kapumzishe akilli kama atakufata huko huko muanzishie LIVARANGATI la why why why why? Wewe si ASHA NGEDERE bwan?
   
Loading...