Natafuta mtaalamu wa kuchora/kutengeneza ramani za kijiografia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mtaalamu wa kuchora/kutengeneza ramani za kijiografia

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Nzi, Feb 8, 2012.

 1. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,850
  Likes Received: 4,518
  Trophy Points: 280
  Salaam wanaJamiiForums!Nahitaji kuchorewa na kutengenezewa ramani ya kijiografia (geographical map),ambayo itatumika kuelezea mahala (to describe geographical location).Kwa yeyote anaeweza kufanya hiyo kazi,tafadhali tuwasiliane kwa PM kwa ajili ya majidiliano zaidi.Hata kama kuna yeyote anaemfahamu mtu anaeweza kufanya hiyo kazi,tafadhali tuwasiliane pia kwa PM kwa mawasiliano zaidi.Asanteni.

  Nime-attach mifano ya aina ya ramani ninayoihitaji.
   

  Attached Files:

 2. m

  marty JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 783
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  wasiliana na huyu mtu 0712335100
   
 3. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,850
  Likes Received: 4,518
  Trophy Points: 280
  Asante. Nitawasiliana nae.
   
Loading...