Natafuta mtaalamu wa ku unlock iphone 6

Hiyo kama ujaiba basi imeibiwa chamsingi mpe mtoto achezee....kuifungua hiyo ni kazi itakayokugarimu fedha sawa na kuinunua.
 
Ushauri wangu.

Kama ni yako wasiliana na apple wakijiridhisha kua wewe ni mmiliki watakutolea.

Kama siyo yako.
Uza vifaa kimoja kimoja mfano kioo, betri na housing.

Au tafuta soketi ya iphone 6 kutoka kwa fundi simu ipachike katika hiyo yako iliyonasia kwenye icloud.

Zaidi ya iphone 4&4s Sijawahi kuona ya juu ya hapo ikiwa imetolewa icloud. Ukisearch internet utaona options nyingi za kubypass icloud mojawapo ni kutuma imei na utalipa pesa kipindi wanashughulika na tatizo lako (sijawahi kutumia hii njia).
 
Its almost impossible... kuremove i cluod i a heavy job... and success is 1.0%
 
Mtu anaweza akaokota, msihukumu kabla.
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuokota simu....mkuu hujatembea nini kwenye nchi za wenzetu?....ngoja nikudadafulie huko kwa wenzetu unaweza ukakuta vindoo maarum kama vya taka taka vimejaa simu zilizosahauliwa kwenye magari au sehemu yoyote...baadae simu hizo hukabidhiwa kwenye mikono ya wanausalama...ata wewe usithubutu kuokota simu...
 
Denmark?
 
Hahahahahaaaaa. !! Iphone raha sana...

Peleka kituo cha polisi tuu mkuu
 
Back
Top Bottom