HarusiYetu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2009
- 458
- 10
Wadau natafuta mtaalam wakuweza kuunlock iphone 6.
0655461460
0655461460
Mtu anaweza akaokota, msihukumu kabla.Hiyo kama ujaiba basi imeibiwa chamsingi mpe mtoto achezee....kuifungua hiyo ni kazi itakayokugarimu fedha sawa na kuinunua.
rudisha ulikoiba
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuokota simu....mkuu hujatembea nini kwenye nchi za wenzetu?....ngoja nikudadafulie huko kwa wenzetu unaweza ukakuta vindoo maarum kama vya taka taka vimejaa simu zilizosahauliwa kwenye magari au sehemu yoyote...baadae simu hizo hukabidhiwa kwenye mikono ya wanausalama...ata wewe usithubutu kuokota simu...Mtu anaweza akaokota, msihukumu kabla.
Hio umeiiba rudisha kwa mwenyeweWadau natafuta mtaalam wakuweza kuunlock iphone 6.
0655461460
Denmark?Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuokota simu....mkuu hujatembea nini kwenye nchi za wenzetu?....ngoja nikudadafulie huko kwa wenzetu unaweza ukakuta vindoo maarum kama vya taka taka vimejaa simu zilizosahauliwa kwenye magari au sehemu yoyote...baadae simu hizo hukabidhiwa kwenye mikono ya wanausalama...ata wewe usithubutu kuokota simu...
nichek hapa malembekaallen@gmail.comWadau natafuta mtaalam wakuweza kuunlock iphone 6.
0655461460
Kiongozi kweli unaiweza i phone?nichek hapa malembekaallen@gmail.com
pia niambie una unlock nini kwenye iPhone imefika kwa doctor
nichek hapa malembekaallen@gmail.com
pia niambie una unlock nini kwenye iPhone imefika kwa doctor
wale FBI na mie ni alc so tupo tofauti kidogo unajua kunanjia nyingi za kufungua iPhone na Mimi natumia phishing.
wale FBI na mie ni alc so tupo tofauti kidogoKiongozi kweli unaiweza i phone?
Fbi wenyewe walinyoosha mikono juu