Natafuta mtaalamu: Maumivu makali ya miguu hasa magoti

jinalako

Member
Apr 8, 2011
56
2
Naombeni msaada wenu,

Kuna mtu anasumbuliwa sana na maumivu makali ya miguu hasa kwenya magoti.Umri wake ni kama miaka 70. Nahitaji kuelekezwa ni wapi naweza kumpata mtaalamu hapa Tanzania.

Kuna wakati nilimsikia mtaalamu mmoja wa tiba mbadala akisema anashirikiana na Muhimbili Hospital. Lakini
simfahamu. Vilevile nimesikia kuna mwingine yuko Kibaha naye simfahamu wala sina contacts.

Asanteni.
 
kuna HERBAL CLINIC MOJA IKO PALE UBUNGO, URAFIKI FLATS...WASILIANA NA HUYU JAMAA, BABU YANGU ALIKUWA NA TATIZO KAMA HILO, SASA YU POA BAADA YA KUMPELEKA HAPO. ANAITWA DR.SOKA NAMBA YAKE NI 0715385737
 
Acha maswala ya herbal, aje Peramiho hospital tunapima na kutibu magonjwa haya. Hii inawezekana ni Rheumatoid Arthritis.
 
Acha maswala ya herbal, aje Peramiho hospital tunapima na kutibu magonjwa haya. Hii inawezekana ni Rheumatoid Arthritis.
mkuu hivi peramiho mna specialist wa ENT? pia kuna vitendea kazi vya uhakika katika hiyo idara? kama yupo anaitwa nani? natanguliza shukrani.
 
Peramiho kwa ujumla tupo well equiped ukiona tumetoa erferal ujue MNH nothing they are going to do. Hapa ENT surgeon yupo wewe ukija utaelekezwa idara ilipo no need ya kumtaja jina. Tunakosa baadhi ya vipimo tu lakini magonjwa in most cases yanakuwa diagnosed.
 
Hiyo ni hali ya kawaida kutokea watu wenye umri mkubwa na inatokana na majimaji kwenye joints kupungua na kusababisha msiguano. namshauri atumie products tu za kurudisha yale majimaji na kusahau hayo maumivu. Kwa ushauri zaidi na namna atakavyoweza kupata hiyo product asilia niandikie kupitia ishealthy@hotmail.com
 
Mkuu sikutishi ila ninakutahadharisha mara nyingi matatizo ya figo huwa magoti yanauma
 
Habari wakuu
Tafadhari naomba msaada kwa anaejua tiba ya maumivu ya miguu
Mzazi wangu wa kike kiumri yupo kwenye miaka 60 sasa ni mwaka wa tatu anaumwa sana miguu,inavimba kwenye magoti,tumehangaika hospital ila hakuna nafuu.kila siku ni lazima anywe antpains .kwa anaejua tiba naomba anisaidie.

Pole sana nitafute mimi kwa wakati wako dawa ninayo ya kuweza kumtibu mzazi wako ukinihitaji bonyeza hapa.Mawasiliano
 
nilivunjika mgongo spinarcord hospital ilikuwa niwekewe vyuma ila nilitibiwa na doctor mmoja yupo igoma mwanza anaitwa doctor gege
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom