Naombeni msaada wenu,
Kuna mtu anasumbuliwa sana na maumivu makali ya miguu hasa kwenya magoti.Umri wake ni kama miaka 70. Nahitaji kuelekezwa ni wapi naweza kumpata mtaalamu hapa Tanzania.
Kuna wakati nilimsikia mtaalamu mmoja wa tiba mbadala akisema anashirikiana na Muhimbili Hospital. Lakini
simfahamu. Vilevile nimesikia kuna mwingine yuko Kibaha naye simfahamu wala sina contacts.
Asanteni.