Natafuta Mtaalam wa Solar system/Products ambaye anaweza kuwa business Partner

Zamazamani

JF-Expert Member
Jun 13, 2008
1,859
763
Wadau
Nimepewa nafasi ya kuwa sole distributor wa solar solutions/products kutoka wa manufacturer wa china, mimi sina utaalam wa hiyo makitu . Sasa kabla ya kufanya any commitment na kuingia mkataba na manufacturer, nahitaji mtaalam ambaye tunaweza tukashirikiana (partners in business) in one way or another. Kwa ambaye yupo tayari naomba tuwasiliane PM ASAP.
 
Kwanini pm nasio hapa
Pic%20Layer_2021119225352610.jpg
 
Watu mtakaoingia huko pm hakikisha hamtoi hela just in advance....
Kwa ufafanuzi ni kwamba sihitaji hela ya mtu yeyote, nahitaji ushauri wa kitaalam zaidi kwanza. Sehemu kubwa gharama ni juu yangu
 
Back
Top Bottom