Wadau nisaidieni wapi nitapata mtaalamu wa kutengeneza sofa bila kuchakachua material kama sponge na kadhalika. Kama ulishawahi tengenezewa ukakubali kiwango please recommend na nitajie na cost pia.View attachment 126803
Yanauzwa mbezi tank bovu bondeni laki sita tu
vip ubora wake I wakuridhisha?? ukiendadukani funuturecenternikama 3Million
Yeah yana ubora
Yeah yana ubora