Shemeji brother Excel yuko wapi?
Habari zenu wadau.
Mi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 30 Nimejiajiri. Natafuta msichana wa kumuoa awe ma umri wa kuanzia miaka 23 hadi 30 ukiwa tayari ni PM.
Habari zenu wadau.
Mi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 30 Nimejiajiri. Natafuta msichana wa kumuoa awe ma umri wa kuanzia miaka 23 hadi 30 ukiwa tayari ni PM.
Mkuu hawa mabint wa jf ndo hao hao wa mtaani kwenu, sema wa humu jf ni soft copy style while wakisha fika mtaani wanakua hard copy style. Chukua tu ulionao hapo
bora gereji kama anamiliki kandambili vile...Uuuuuwi baba unataka umiliki mwenyewe
Raha sana kuwa na garage yako
Best wishes
bora gereji kama anamiliki kandambili vile...
Mkuu umemsaidia mwanamme mwenzetu kwa ushauri mzuri sana.anadhani wa humu wana hela,hajui kama ni choka mbaya.
Hujaelewa alichomaanisha garage.alafu acha dharau mtoto wa kike,utakuwa hufanikiwi.
Ook. Kuna msichana mmoja kapotea na nimesikia anatafutwa. Kumbe wewe ndio unamtafuta? Nenda hapo kituo cha polisi na ile RB yako utamkuta. Ulizia dawati la jinsia.Habari zenu wadau. Mi ni kijana wakiume nina umri wa miaka 30 Nimejiajiri. Natafuta msichana wa kumuoa awe ma umri wa kuanzia miaka 23 hadi 30 ukiwa tayari ni PM.
Kama kufanikiwa ni kwako bora nikae tu nisifanikiwe...
Try to grow up even a little bitSawa ila hata ukienda kwa waganga 10 watakwambia mbona unakimbia bahati? watakwambia uje kwangu mbio,naamini siku utakuja tu,tena utaongea mengi tu na sitakuacha bila 3 moja.
Try to grow up even a little bit
hahaha nikuulize wewe mnaepangaga mipango ya kando