md4doctor2000
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 736
- 315
Habari wapendwa,
Natafuta msichana wa kazi za ndani, mahali nilipo pamoja na familia yangu wa watoto wawili ni Ifakara. Mshahara ni maelewano. Aliyetayari au mwenye kuweza kunisaidia kumpata ani-PM tafadhali!