Natafuta Msichana wa kazi mshahara 50 Bei ya mwisho 60000

wapo kibao wanalipwa mpaka 30000

Tuliamua kuhamia kwa wa Malawi. Hawana longolongo, kazi wanaweza. Tatizo ni hapo kwenye off kila Jumapili.

Kumlipa 30,000/- kinyume kabisa na haki za binadam. Najua itategemea na aina na ukubwa wa kazi lakini 30,000/- hapana.
 
Mimi pia nahitaji dada wa kazi nimehamishiwa Dar kikazi last week. So familia inabakia mwanza. Umri 18asizidi 25. Mshahara 40+matibabu namkatia bima, nitamvisha, nitamlisha. Awe mzuri wasura maana nitaishi naye km gilrfriend pia hadi hapo mke atakapopata uhamisho. And once akihamia basi mahusiano yataisha siku hiyo na yeye atachagua kuendelea na kazi ama la.
Awe tayari kupima ngoma na awe mstarabu na mwaminifu sana.
 
Unatafuta mke kiaina?😝😝😝😝
 
Kwahiyo wafanyeje? Kwani analazimishwa kazi... Akiona mateso si asepe. Acha ushamba
Yani wewe tayari huwezi kuishi na mtu... Hawa wasichana wanaitaji kutuzwa nakufuzwa...!!! Na ukiishi nao kama mwanao amini hutojutia kwa chochote wapo smart sana ila ukiwa bandidu lazima mwanao akutane nacho...!!! Wewe boss wako akikunyanyasa kazini kwako unaacha kazi au unavumilia ili wanao waende toilet? Kama na wewe una watoto jifunze kuwa mwema kwa hawa raia" hakuna aijuae kesho mimi huwa naogopa kabisa kuishi nao vbaya maana huwa namuangalia binti yangu alafu nasema Mungu ndo anaejua kesho!!! Wacha niwe mwema kwa hawa mabinti wa kazi maana sijui wangu itakuwaje... Usifirikiri wanapenda izo kazi na manyanyaso mnayowapa wanavumilia ili icho kiasi kidogo kikasaidie aidha wazazi wake au ndugu zake uko kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom