GER
Senior Member
- Mar 13, 2015
- 138
- 34
Mimi ni kijana umri miaka 28 natafuta binti kuanzia miaka 22 - 27 aliye tayari kuolewa. Mengi zaidi tutajadili PM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyiny hamchelewi kujinyonga
Ngoja na Mimi nipitie humu humu.Wakizidi kwny pm yako mkuu ebu jaribu kuwahamishia kwangu.Mimi ni kijana umri miaka 28 natafuta binti kuanzia miaka 22 - 27 aliye tayari kuolewa. Mengi zaidi tutajadili PM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akihamishia kwako wengi nawe sambaza upendo unirushie na mimiNgoja na Mimi nipitie humu humu.Wakizidi kwny pm yako mkuu ebu jaribu kuwahamishia kwangu.
Hahaha.....haina shida mkuu.Hapa nipo Benet na kasmartphone kangu nikichungulia pm kila mara