Natafuta mshonaji

Elizabeth Dominic

Platinum Member
Dec 7, 2007
4,555
3,649
Salam
Mtu mwenye ujuzi wa kushona lakini hana kazi wala maarifa tafadhali kama ndiye au unamjua yeyote naomba uwasiliane na mimi kwa PM
 
pita pale veta utawapata wengi sana wa kike na wa kiume, biashara ikiwa nzuri nijulishe na mimi nina kifrem changu kiko wazi
 
Salam
Mtu mwenye ujuzi wa kushona lakini hana kazi wala maarifa tafadhali kama ndiye au unamjua yeyote naomba uwasiliane na mimi kwa PM
Awe na ujuzi, lakini asiwe na maarifa ! Mkuu, una maana gani, unataka umburuze?
 
usiumize kichwa.nenda kwa mafundi chelehani pale mtaa wa uhuru kama unaenda buguruni pale k/koo wapo mabinti na makaka kibao.
 
Salam
Mtu mwenye ujuzi wa kushona lakini hana kazi wala maarifa tafadhali kama ndiye au unamjua yeyote naomba uwasiliane na mimi kwa PM

maticha wa Veta changamkieni mchongo huu kwa wanafunzi wenu.
 
workshop ya ushoni ipo wapi? unahitaji wangapi?male or female,Je ni mshahara au kwa piece work payments, ukijibu hayo utapata the right pple
 
Mimi nna ujuzi wa kushona miili ya maiti waliopasuliwa (postmortem), Jee, niku-PM? au unatafuta mshonaji wa nini? weka sawa ueleweke.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom