Natafuta mshirika wa kuanzisha naye asasi (NGO) ya kusaidia jamii

RAYAN THE DON

JF-Expert Member
Aug 21, 2019
666
1,000
Habari zenu,

Ni matumaini yangu mu wazima kabisa na wenye safi na salama.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba namtafuta mtu ambaye yupo makini na ambaye anapenda kuwasaidia wanajamii katika masuala mbalimbali ya kijamii ili tuwenze kuanzisha asasi ambayo itakuwa inaihudumia na kuisaidia jamii katika nyanja zote za maisha zinazogusa jamii.

Hiyo asasi ambayo tutainzisha itatoa huduma zifuatazo:-

(a) Kuelimisha jamii kuhusu masuala ya afya.
(b) Kujenga vituo vya kulelea watoto yatima.
(d) Kutoa misaada mbalimbali kwa watu wenye uhitaji (wasiojiweza katika kutafuta riziki).

Mbali na hilo wazo la hapo juu, pia nina wazo la kuanzisha kampuni ya usafi hapa jijini Dar es salaam.

Nimeamua kuanzisha kampuni ya usafi kwa sababu uendeshaji wake siyo mkubwa sana ukilinganisha na shughuli zingine.

Karibuni sana kwa ushauri wenu.
 
dumejm

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,169
2,000
Ikianza nishtue nije kutoa mchango wangu katika masuala ya afya na lishe (mbombezi katika masuala ya lishe ya binadamu - afisa lishe by proffessional)

Naamini mambo ya afya ya jamii, maendeleo na lishe yanakwenda sambamba kabisa
Habari zenu,

Ni matumaini yangu mu wazima kabisa na wenye safi na salama.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba namtafuta mtu ambaye yupo makini na ambaye anapenda kuwasaidia wanajamii katika masuala mbalimbali ya kijamii ili tuwenze kuanzisha asasi ambayo itakuwa inaihudumia na kuisaidia jamii katika nyanja zote za maisha zinazogusa jamii.

Hiyo asasi ambayo tutainzisha itatoa huduma zifuatazo:-

(a) Kuelimisha jamii kuhusu masuala ya afya.
(b) Kujenga vituo vya kulelea watoto yatima.
(d) Kutoa misaada mbalimbali kwa watu wenye uhitaji (wasiojiweza katika kutafuta riziki).

Mbali na hilo wazo la hapo juu, pia nina wazo la kuanzisha kampuni ya usafi hapa jijini Dar es salaam.

Nimeamua kuanzisha kampuni ya usafi kwa sababu uendeshaji wake siyo mkubwa sana ukilinganisha na shughuli zingine.

Karibuni sana kwa ushauri wenu.
 
Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
14,746

Wazo zuri sana,baadhi ya mambo hapo juu namm ninayo ila mara kadhaa nimekwama,unataka kushirikiana na mtu mwenye vigezo gani?
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,216
2,000
Habari zenu,

Ni matumaini yangu mu wazima kabisa na wenye safi na salama.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba namtafuta mtu ambaye yupo makini na ambaye anapenda kuwasaidia wanajamii katika masuala mbalimbali ya kijamii ili tuwenze kuanzisha asasi ambayo itakuwa inaihudumia na kuisaidia jamii katika nyanja zote za maisha zinazogusa jamii.

Hiyo asasi ambayo tutainzisha itatoa huduma zifuatazo:-

(a) Kuelimisha jamii kuhusu masuala ya afya.
(b) Kujenga vituo vya kulelea watoto yatima.
(d) Kutoa misaada mbalimbali kwa watu wenye uhitaji (wasiojiweza katika kutafuta riziki).

Mbali na hilo wazo la hapo juu, pia nina wazo la kuanzisha kampuni ya usafi hapa jijini Dar es salaam.

Nimeamua kuanzisha kampuni ya usafi kwa sababu uendeshaji wake siyo mkubwa sana ukilinganisha na shughuli zingine.

Karibuni sana kwa ushauri wenu.
Hiyo kampuni ya kusaidia na kuelimisha...mapato yatatoka wapi mkuu?Bila pesa hakuna huduma mkuu....
Kuhusu kampuni ya usafi....changamoto ni kupata soko au sehemu ya kufanyia kazi,kwa sababu soko lake limejaa
 
moj6

JF-Expert Member
Nov 2, 2017
3,344
2,000
OK vizur ,ungedili na mazingira such as kupanda miti kwenye maeneo ya taasisi mbalimbali pemben ya barabara unaweza kuwa funded
 
MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
2,529
2,000
Una Fund mkuu? Au Bado unajua kwamba kuna wafadhiri watayoa pesa? Kama una pesa zako wewe anza tu ila kama unangojea uje upewe aisee tafuta kazi nyingine ya kufanya
Habari zenu,

Ni matumaini yangu mu wazima kabisa na wenye safi na salama.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba namtafuta mtu ambaye yupo makini na ambaye anapenda kuwasaidia wanajamii katika masuala mbalimbali ya kijamii ili tuwenze kuanzisha asasi ambayo itakuwa inaihudumia na kuisaidia jamii katika nyanja zote za maisha zinazogusa jamii.

Hiyo asasi ambayo tutainzisha itatoa huduma zifuatazo:-

(a) Kuelimisha jamii kuhusu masuala ya afya.
(b) Kujenga vituo vya kulelea watoto yatima.
(d) Kutoa misaada mbalimbali kwa watu wenye uhitaji (wasiojiweza katika kutafuta riziki).

Mbali na hilo wazo la hapo juu, pia nina wazo la kuanzisha kampuni ya usafi hapa jijini Dar es salaam.

Nimeamua kuanzisha kampuni ya usafi kwa sababu uendeshaji wake siyo mkubwa sana ukilinganisha na shughuli zingine.

Karibuni sana kwa ushauri wenu.
 
MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
2,529
2,000
NGOs zilikuwa zinalipa enzi hizo ila not now, hizi NGO International zenyewe zinalia na kuna zinazo funga Offisi.

Kwa Local ndo kabisa kabisa, niko huko najua kila kitu. NGOs ilikuwa zamani kwa sasa labda uwe na pesa zako ufanye mwenyewe.
Ukitegemea Wazungu aisee utalaza watoto njaaa nakuambia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom