Utamaliza bumu uanze kulia lia ne nda kafanye registration SUA
Panda gari hapo ingia mazimbu ndani pale freedom square utadaka warembo wanachuo..wahi sahivi bado hawajapewa bumWadau vip? Natafuta mrembo aliyetayari nataka kuspend nae Moro hapa today nipo ipoipo hapa njia panda ya mazimbu ....!!!
Unaonekana ni mdau wa samaki samaki haha ha haNenda pale samaki nyumbani lounge pesa yako tu
Nenda Fish Fish hukosi pale pesa yako tu.Kihonda Bima.Au Nyamatandala.Ila kama upo Ipo ipo huenda we ukawa MwanachuoWadau vip? Natafuta mrembo aliyetayari nataka kuspend nae Moro hapa today nipo ipoipo hapa njia panda ya mazimbu ....!!!
Utamaliza bumu uanze kulia lia ne nda kafanye registration SUA
Ha ha ha badoo bado ipo hivi??Wanaume tunapendana aisee...
Ona watu wanavyomimina mawazo.
Mkuu zama badoo chap. Cheki people nearby. Been there, done that