Natafuta mpenzi

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,956
6,551
Mimi mwanaume miaka 32 naishi Dar.
Nahitaji mwanamke umri kuanzia 18yrs hadi 40yrs awe mkazi wa Dar.
Karibu PM mpenzi
 
Itabidi nije na ID mpya ili nipate.
Hii ya zamani hapana
 
kwahiyo kuwowa hutakiii we awe mpenzi tu haya mkuu kila la kheri
 
unatafuta mpenz akati watu wanaangaika na kutafuta pesaaa asee......we endelea kutafuta mpenzi maana hata umri wako unaruhusu ila ukitaka wa haraka nenda kule FACEBOOK kule ndio utapata wa haraka....natafuta mpenzi....on my foot
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom