Natafuta mpenzi

wanaume wanao jitambua huwa hawapendi vitu used! labda mateja! wanawake ni wengi ambao hawajazaa! wewe ulisha zalishwa na baba wa mtoto, huyo ndio chaguo lako. uko unako kwenda sio mahala pako....
 
Muombe mungu ata mimi nilitafta mke kwenye mtandao ni kapata tena nimeparikiwa sana ingia( Christian dating for free )
 
Hahahaaaa!! Yaani unatafuta mwingine ilihali bado uko kwa mwingine!! Haya mama kila la kheri.
 
Hi !
jaman natafuta mpenz umri wowote kikubwa 2pendane

Mm ni mama wa mtoto mmoja umri wangu ni 23 ninaish na baba wa mtoto lakn c ndoa rasmi

Aliyetayar ani pm ili kujuana zaidi
Hii kali!!.....i never subscribed to any JF thread but walahi for this i gonna do it!!
 
wanaume wanao jitambua huwa hawapendi vitu used! labda mateja! wanawake ni wengi ambao hawajazaa! wewe ulisha zalishwa na baba wa mtoto, huyo ndio chaguo lako. uko unako kwenda sio mahala pako....
Kwan kuna mwanamke ambae sio used miaka hii laada mtoto wa shule ya msing
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom