Natafuta mpenzi wa kike mwenye virusi vya Ukimwi

Ruble

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
598
992
Habari zenu wakuu. Najitokeza kwenu mimi ni kijana wa kiume umri miaka 27. Ninaishi Dar es Salaam. Ninatafuta mchumba wa kike mwenye maambukizi ya virusi lakini awe anatumia ARVs. Mambo mengine tutaelezana PM. Dini si muhimu sana kwangu.

Mimi mwenyewe siishi na maambukizi ieleweke.

Dira yangu:
Kuishi na VVU si sababu ya kutopata mpenzi asiye na maambukizi.

Nipo serious. Karibuni sana!
 
Inwezekana kabisa, kila la kheri boss
 
Dingii tupe na sisi maujanja ya kupiga mbizi bila mgongo kulowa kwasababu Kuna pisi kali kinyama amabazo tunaskia zimeshaungua tunaishia kuzimezea tu mate kwa mbali kama vipi tusanue tujilipue
 
Dingii tupe na sisi maujanja ya kupiga mbizi bila mgongo kulowa kwasababu Kuna pisi kali kinyama amabazo tunaskia zimeshaungua tunaishia kuzimezea tu mate kwa mbali kama vipi tusanue tujilipue
Mbona rahisi sana mkuu. Jacob zuma alisema unatakiwa baada ya kupiga bao unawahi kuoga
 
Weka namba za simu/email, huko pm utawachora tu watoto wa watu.
Unataka tutegemee I'd nyingi mpya karibuni
 
Hapana sina utafiti wowote ndugu. Ni ngumu kuaminika sababu ya mtazamo hasi wa jamii yetu
Njoo ni kuunge na mtu sahihi kabisa ankaa na dsm. Nenda pm nimekuwekea mawasiliano yangu tuongee hutojutia.
 
Nilichogundua hili jukwaa wanaopandisha thread wengi ni member wapya kuna namna hapa watu wanapitia mlango wa nyuma😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom