natafuta mpenzi/mchumba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

natafuta mpenzi/mchumba

Discussion in 'Love Connect' started by tonny03, Mar 14, 2011.

 1. t

  tonny03 Member

  #1
  Mar 14, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  imefutwa
   
 2. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #2
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Haya wadada mpigieni bwana mdogo, hii ndo post yake ya pili anataka utamu! Lkn ukimpa husishangae harudi tena!!
   
 3. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #3
  Mar 14, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Dogo amenifurahisha utafikiri ni Boss au Afande ...maana ametoa order...so anasubiri utekelezaji!!!
  Amenifurahisha....hee hee heee!
  Na hilo jibu lako ajipange tena!
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Tonny hebu tuheshimiane aisee hii lugha gani umeandika?? Mie sijakuelewa ujue humu kuna wazee kama sisi hizo lugha zenu za huko mie sijaelewa kabisa..
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Mar 14, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nakusubiri ukue kue ndio nikutafute.
   
 6. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #6
  Mar 14, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaha! kumbe tuko wengi mi maneno yakishakuwa na namba kati sielewi kitu utaona 2,4,9,nn,mm sielewagi kabisa.
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Mar 14, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160

  Yaani nimejitahidi kurudia mara mbili mbili sijaelewa kabisa mkuu watoto wa siku hizi?????
   
 8. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Haya dogo huyo
   
 9. G

  Gamba Manoni Member

  #9
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 51
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Inatakiwa dogo afunzwe kutongoza. Inaonekana ana aibu sana maana hapo chuon wapo cuties wakutosha. Au anajifurahisha JF
   
 10. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  licha ya lugha hiyo da Dena, 21yrs anataka nini, anaharakia nini ? jamani nyie watoto mapenzi yapo siku zote ala???????? someni kwanza ati.
   
 11. Sarafina1

  Sarafina1 Senior Member

  #11
  Mar 31, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dogo kua kua kwanza, harufu ya mama ikutoke kidogo
   
 12. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  kumbe mko wengi
   
 13. k

  kisukari JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  uandikaji huo,sijui kama utapata mchumba.kama kweli unashida ya mchumba,jaribu kuandika kiheshima zaidi.hata baba mkwe akisoma ataona mmh,huyu si mchumba,bali ni mchezeaji
   
Loading...