Natafuta mpenzi/mchumba/mke

iringa

Member
Feb 5, 2012
66
33
Mi ni mwanaume miaka 34, mweusi, urefu 5.6ft,umbo si mnene wala mwembamba(wastani), Elimu chuo kikuu, mkristo(Lutheran), naishi Dar, natafuta mtu ambaye atakua mpenzi, mchumba mpaka mke kama tutaridhiana na kukubaliana. Awe na miaka kati ya 24 na 28,mweupe, kifua kidogo(Maziwa), awe na mguu pamoja na hips, asiwe mnene, elinu kuanzia form 6 na kuendele, awe anajitambua yeye ni nani na anataka nini. Aliye tayari twasiliane kupitia email iringambeya@yahoo.com.
 
Mguu!!! Hapa wenye mikono wakae mbali haki ya nani :) .Kaka nakutakia heri ya krismasi na kuopoa kitu kipya kutoka JF.
 
We!vitu vya hiyo mikoa uliyotaja kwenye email ni vyeusi balaa!sura ndo usiseme!!mpaka umekuja kutafuta huku!!kazi ipo!ngoja waje wenyekutafuta mchumba!ha ha ha!kazi ipo!lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom