Natafuta mpenzi ambaye atakuwa mke wangu wa ndoa soon

Habarini ndugu zangu, nimeingia kwenye jukwaa ili kutafuta mpenzi wa kike ambaye ataenda kuwa mke wangu ivi karibuni:

SIFA ZANGU:
Urefu: Ni mrefu wa wastani
Umbo: sio mnene wala sio mwembamba sana.
Rangi: Maji ya kunde
Dini: Christian (RC)
Elimu: Degree 1
Status: Single na sijawahi kuwa na mke wa ndoa wala mtoto.
Shughuli : Nimeajiliwa taasisi binafsi
Makazi: Napatikana Dar es saalam
Age: 30

SIFA ZA MWENZANGU NINAYEMTAKA:
Urefu: wa wastani
Kabila: Lolote
Umbo: Siza ya kati plus Shape nzuri**
Rangi: Yeyote
Dini: Awe Mkristo mwenye ofu ya mungu**
Elimu: Angalau form six, diploma na kuendelea..
Status: Asiwe na Mtoto**
Shughuli: zozote halali za kuingiza kipato
Makazi: Popote ila around Dar itapendeza zaidi
Age: Around 21-30

Note:
**- namaanisha ndio za kuzingatia sana

Aliye serious aje PM, Kama haupo serious please please usije pm.
Asanteni
Kila la kheri vigezo vigumu sana kwangu.
 
Asilimia kubwa now wadada wana watoto ukipata asiyekuwa nae muulize aliwahi chopoa
 
Habarini ndugu zangu, nimeingia kwenye jukwaa ili kutafuta mpenzi wa kike ambaye ataenda kuwa mke wangu ivi karibuni:

SIFA ZANGU:
Urefu: Ni mrefu wa wastani
Umbo: sio mnene wala sio mwembamba sana.
Rangi: Maji ya kunde
Dini: Christian (RC)
Elimu: Degree 1
Status: Single na sijawahi kuwa na mke wa ndoa wala mtoto.
Shughuli : Nimeajiliwa taasisi binafsi
Makazi: Napatikana Dar es saalam
Age: 30

SIFA ZA MWENZANGU NINAYEMTAKA:
Urefu: wa wastani
Kabila: Lolote
Umbo: Siza ya kati plus Shape nzuri**
Rangi: Yeyote
Dini: Awe Mkristo mwenye ofu ya mungu**
Elimu: Angalau form six, diploma na kuendelea..
Status: Asiwe na Mtoto**
Shughuli: zozote halali za kuingiza kipato
Makazi: Popote ila around Dar itapendeza zaidi
Age: Around 21-30

Note:
**- namaanisha ndio za kuzingatia sana

Aliye serious aje PM, Kama haupo serious please please usije pm.
Asanteni
Sifa zote zinanikidhi na kuongezeka kasoro moja ya umbali pole sana dah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom