Mkuu pole sana ila nikipata nitakushutua ila kuna bango hapo juu wanasema Mtaa wapemba na Livingston kunakila spare za laptop mkuu nenda kacheck !Mwenye nayo ani PM tafadhali, nimeharibikiwa na Kitendea kazi na ndicho kinachonifanya niishi mjini.............
Hp Compaq Presario CQ70
Ahsante sana Mkuu KakaKiiza, nimejikuta navamia kitendea kazi cha mama Ngina na sasa tumebaki kunyang'anyana...Mkuu pole sana ila nikipata nitakushutua ila kuna bango hapo juu wanasema Mtaa wapemba na Livingston kunakila spare za laptop mkuu nenda kacheck !
brother wangu wa ukweli, nakushauri kachukue laputopu mupya pale sonash maana bei ni rahisi na ni imara, ingekua mazabodi ya deskitopu ningekushauri ununue ila izo vipakato mh! itakusumbua
Ngoja tu nicheze pa potea maana tangu ninunue haijamaliza miezi sita ishakufa motheboard....
manoah bana,. kwani umesahau kuwa mie ni KANJANJA.........?[/QUOT
Oooh mama! nilikua nimesahau, ila brother ki ukweli ndio ivyo kitu kutoka eBay ni cheap na ni imara, hapa bwana wajanja wengi kaka
Tanzania kuna e-bay?kaka, agiza eBay
Mwenye nayo ani PM tafadhali, nimeharibikiwa na Kitendea kazi na ndicho kinachonifanya niishi mjini.............
Hp Compaq Presario CQ70
Mwenye nayo ani PM tafadhali, nimeharibikiwa na Kitendea kazi na ndicho kinachonifanya niishi mjini.............
Hp Compaq Presario CQ70