Natafuta mume

Mkuu kwahiyo na wewe utakuwa unamsaidia mkeo kazi za ndani kama kupika kufua kuosha vyombo na kusafisha nyumba si eti

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti mwanamke anajilipia mahari, anajioaSasa huko ndani nikianza kuleta amri achukie au?? Yaani nijioe mwenyewe halafu nimheshimu juuu... Big no........ Mimi nikijioa, tendo nakupangia, utadeki, utapika, utaosha vyombo, utafua nepi za watoto, utaniandalia Maji ya kuoga "nataka ya moto" yaani ni utafanya kazi mpaka ujute kwanini ulipenda kitonga na kuikataa asili yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohoo yaani atafanya hizo kazi zote na akitaka kuchepuka achepuke njia nyeupe kabisa maana hawa hata uwape nini kizuri au uwafanyie nini kizuri bado watachepuka tu
Eti mwanamke anajilipia mahari, anajioaSasa huko ndani nikianza kuleta amri achukie au?? Yaani nijioe mwenyewe halafu nimheshimu juuu... Big no........ Mimi nikijioa, tendo nakupangia, utadeki, utapika, utaosha vyombo, utafua nepi za watoto, utaniandalia Maji ya kuoga "nataka ya moto" yaani ni utafanya kazi mpaka ujute kwanini ulipenda kitonga na kuikataa asili yako

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samcezar, Siku zote nasemaga kama unashabikia ccm na akili zako lazima ziwe za kizombizombi, ungepitia uzi wote huu comment kwa comment hili povu lisingekutoka, ila kwakuwa umedandia gari kwa mbele wacha nikuone mpuuzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom