Natafuta mume

Zesh

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
15,381
24,979
Salaam kwenu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nikiwa na akili timamu kabisa bila kushawishiwa na mtu yeyote, naweka bandiko hili la kutafuta mwanaume ambaye atakuja kuwa mume wangu.

Vigezo:

Awe mchamungu,
Rangi yoyote ila nyeusi itapewa kipaumbele
Asiwe na kitambi
Awe anajitambua kuwa yeye ni mwanaume na autumie vizuri uanaume wake
Elimu yoyote ile

Sifa za mimi:

Mweusi
Mwembamba
Sina matako makubwa
Elimu ya darasa la saba
Sina mtoto

Umri
Awe na miaka kuanzia 32+
Umri wangu 26

Aliye tayari kuanza maisha mapya aje PM

Ahsanteni sana
 
Natafuta mke
Sifa zangu
Ni mchamungu,
Rangi yangu n i mweusi
Sina kitambi,
Ninajitambua kuwa mimi ni mwanaume na najua kuutumia vizuri uanaume wangu,

Sifa za mke nimtakae

Mweusi,
Mwembamba,
Asiye na matako makubwa,
Elimu la saba,
Asiye na mtoto.

Huu uzi nadhani ufungwe lengo la mleta mada nishalitimiza.
 
Jina lako nimeshindwa kutambua jinsia yako...
Okay ngoja niedit

Na jinsia yako pia muhimu sana ukituandikia... sio mtu akukuja private chamber anasota mwishoni siku ya kudate anakutana na jinsia inayofanana naye... nduki sana itafuata
 
Jamani wewe haupo serious Bhana ndio maana nimeweka tangazo la kutafuta mume
 
Jina lako nimeshindwa kutambua jinsia yako...

Na jinsia yako pia muhimu sana ukituandikia... sio mtu akukuja private chamber anasota mwishoni siku ya kudate anakutana na jinsia inayofanana naye... nduki sana itafuata
Jamani anaetafuta mume ni mwanamke....

Mimi ni ke
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom