Natafuta mme

Lovieee

Member
Feb 15, 2019
7
49
Habar! ninaishi Dar, I’m 28 years old christian, Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.

Thanks. Serious issue pls kama una utani kaa pembeni nimechoka upweke Loh.

Nb: Uwe mwaminifu sio kujileta na madudu yako me too I’m tired of those madudu😓
Note! mume lazima awe mkristo tena mcha Mungu will be my first priority,na umri kuanzia 32 plus na sijabagua wa mkoa wowote nimesema ajili ya ukaribu and I’m too busy so ukija kwangu maanisha maana sina muda wa kuanza kufanya hili ama lile!

Karibu.
 
Habar!ninaishi dar,I’m 28 years old christian,Lutheran church na nimeajiriwa, ninatafuta mme,nimechoka upweke na nahitaji mtu serious anaeishi dar kwa ajili ya ukaribu.thanks.serious issue pls.kama una utani kaa pembeni.nimechoka upweke Loh.
MUNGU akajibu haja ya moyo wako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom