Natafuta mkopo wa Laki saba na riba ntalipa laki 2

Oct 5, 2012
7
0
Natafuta mkopo wa Laki saba na riba ntalipa laki 2, mwisho wa mwezi huu. Dhamana niliyonayo ni kadi yangu ya NSSF ambayi ina mil.1 (hata na Passport yangu kama atahitaji).alienayo anicheki kwenye 0656 743096 fasta.
 
Mkuu angalia unauziwa kanyaboya kuwa mwangalifu-biashara ya kulipa riba ya laki 2 kwa laki 7 ndani ya mwezi 1!!!!
 
Back
Top Bottom