Natafuta mkopo wa 5M, dhamana vyeti vyangu

Mudathru

Member
Apr 24, 2011
78
21
Kwa anaeweza kunikopesha pesa za kitanzania zipatazo Tsh Milioni 5 tusaidiane kwa hilo. Kikubwa sina dhamana kama vile nyumba, kiwanja ama shamba. Hivyo basi nipotayari kuweka dhamana yangu ya vyeti vyangu vyote kuanzia O Level hadi degree. Tafadhali kusiwepo na masihala katika jambo hili. Kwa yeyote alie tayari ani inbox.
 
Tatizo litakuja hapo kwenye dhamana. Sasa mfano unamuachia vyetu vyako huyo mkopeshaji, anakupa 5m, unaenda zako Songea, unachukua police loss report, unapata vyeti vingine, wewe utakuwa na haja ya kumlipa kweli wakati vyeti unavyo? Sisemi kuwa unataka au unaweza kufanya hivyo , najaribu tu kuonyesha kuwa ulichoweka kama dhamana kinaweza kuwa kidogo na mushkeli...
 
Ondoa hofu -1. maandishi ya makubaliano yatakuwepo. 2.Kabla hujapatiwa vyeti vingine lazima litolewe tangazo la kupoteza vyeti kwenye vyombo vya habari na halitakuwa zoezi la mda mfupi inaweza kufika hata miezi mi3. 3.Kutakuwa na mashahidi wapande mbili ambao naamini hawataweza kukusaliti na 4.Sitaweza kupewa vyeti vingine wakati ninavyo tayari...Naomba ufikilie kwa makini sana utagundua kuwa ninastahili kukopeshwa.
 
Kwa mfano Ndo umeshakopeshwa then ukatokomea moja kwa moja hivyo vyeti vyako vitamsaidia nn muhusika aliyekukopesha, ukiangalia serekali ya sasa haitaji kuajiri watu kwa vyeti feki, pia hivyo vyeti sizani kama vitakuwa na Masada wowote hata ajira zenyewe hakuna, watu kibao wana vyeti wamevihifadhi ndani haviwasaidii chochote bado sijaona umuhimu wa hiyo dhamana yako
 
Kama ameweza kunikopesha mil5 atatamani vipi kutaka kuajiliwa tena? Dhamana sio lazima uitumie ila nikielelezo cha kuweza kunipata wakati wowote mahali popote kama nitakuwa nimevunja makubaliano.Kama dhamana itakuwa nyumba ua kiwanja na kisha nikaamua kuiuza kwa mtu mwingine chini ya ushahidi wa serikali itakuwa imekusaidia nini dhamana hiyo?
 
Back
Top Bottom