Natafuta mkopo, nitalipa kwa riba, naweka laptop rehani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mkopo, nitalipa kwa riba, naweka laptop rehani

Discussion in 'Matangazo madogo' started by kwelakenya, Jun 15, 2012.

 1. k

  kwelakenya Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nahitaji mkopo wa Laki 5, nitarudisha laki 6 after 3 days.Nitaweka my Dell laptop kama security.Nnazihitaji by saturday, niko Dar, mwenye nazo anitumie namba yake fasta.
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  toooo sweeeet deal to accept
   
 3. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mh! Sio kama ndio unauza hiyo laptop yako??
   
 4. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  laki 3 poa
   
 5. mzurimie

  mzurimie JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 6,151
  Likes Received: 1,604
  Trophy Points: 280
  Una uhakika gani kuwa utakuwa nazo baada ya siku 3?
  Ni vizuri ungeofa kumweleza mtu zaidi kwa nini unataka hiyo pesa, na pia utoe kitu kingine.

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 6. leh

  leh JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  laki tano sio sawa na kuwa umeniuzia? kama laki 3 sema, na utaje specs
   
 7. k

  kwelakenya Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I cannot do that.Yaani nikuachie laptop ya laki 9 kisa umenipa laki 3?Ukiondoka nayo?
   
 8. k

  kwelakenya Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Laki 3 haiwezekani mkuu.I cannot do that.Yaani nikuachie laptop ya laki 9 kisa umenipa laki 3?Ukiondoka nayo?
   
 9. leh

  leh JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  taja specs basi ndo tujue kwamba tukikupa na wewe hutaondoka na laki tano.
   
 10. k

  kwelakenya Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nisingekuwa na uhakika i wouldnt have dare to bond my laptop.
   
 11. k

  kwelakenya Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 21, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Specs zake ni

  Manufacturer: Dell
  Windows Vista
  Model: Studio 1555
  Processor: Intel (R) Core (TM)2 Duo CPU T6400 @ 2.00GHz 2.00 GHz
  Merory (RAM): 2.00GB
  System Type: 32-bit Operating System


  Siwezi kuchukua laki 3 tu.The laptop worths laki 9, alafu nimwachie mtu ambae simjui kisa laki 3 tu?akikimbia nayo?
   
 12. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Ewaaaaa, hapo uko sawa; na mimi siwezi kukupa laki 6 kwa laptop used ambapo mpya ya hivo najua naweza kupata kwa laki 6.5!!!...ukiniuzia bila kupenda?...kama biashara unayotaka kufanya inalipa kiasi cha kukubali kutoa laki ndani ya siku tatu ina maana wewe unapata faida zaidi ya laki tatu, kama ndiyo hivyo kwa nini usiuze tu hiyo laptop?...sivyo nenda ya jamaa wanaokopesha pesa waalimu utapewa fastaaa! MJINI UAMINIFU KAZI, HAUNA HATA NDUGU AU RAFIKI WA KUKUPA LAKI6?
   
Loading...