JONATHAN KAMWAVAH'S
Senior Member
- Oct 9, 2012
- 184
- 24
Jamani mm nikijana nina umri wa miaka 28,nimechoka ishi pekeyangu,naombeni kuuliza je!pande hizi nisahii naweza pata mke
Toa no ya cm kuna mke nataka nikupatie ila uwe serious na hili jambo
Kumbe inawezekana heee!
una hela wewe ya kumudu timbwili la mke!
28yrs umechoka tena mwanaume??? Kweli mko tofauti, nina marafiki zangu wana 32-35yrs nikiwauliza vipi mna mpango gani wanasema bado wapo wapo!!
Hongera mkuu!!
mie nna rafiki yangu mwili mdogo ila kwa haraka haraka anakimbilia 40. Ameshakata tamaa ya kuoa kabisa. Hata mtoto wa kiume ukifika miaka 28 inabdi uwe katika mahusiano ya kueleweka. Unaweza ukashangaa unakosa mke hivi hivi.