NATAFUTA mke

nur

Member
Mar 28, 2012
63
11
mm ni mwanaume miaka 32, elimu ya chuo, nina mtoto mmoja, kwa umbo ni mnene wastani kimo cm 154, ni mweusi kisura. natafuta mke umri miaka 23-31 dini yoyote, elimu kuanzia kidato cha nn, awe na kazi kaajiriwa au kujiajiri sawa ila asiwe na mawazo yasiyo leta tija kwa familia. kwa aliye na nia anitafute kwa mamba. 0784567432 kwamaongezi zaidi.
 
Nenda pale nyarungonbe karibu na tandamti pembeni na swahili yuma ya mkwepu karibu ya makutano ya kongo na uhuru kama unaelekea nyamwezi na livingstone opposite na mafia na jagwani kabla ya msimbazi hapo utawapata wapo bwelele
 
Weka picha mkuu vigezo nnavyoo
 
Nenda pale nyarungonbe karibu na tandamti pembeni na swahili yuma ya mkwepu karibu ya makutano ya kongo na uhuru kama unaelekea nyamwezi na livingstone opposite na mafia na jagwani kabla ya msimbazi hapo utawapata wapo bwelele

Ni bora ukamsindikiza, hawezi kufika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom