Natafuta mke (Wife material)

Bwegemsela

Member
Aug 30, 2019
59
82
Natafuta mke Binti au aliyezaa mtoto asizidi mmoja
Umri 27 hadi 35
Dini yoyote
Awe mtanzania
Awe mfanyakazi au mjasiliamali
kwa ambae yupo serious karibu PM kwa contact.

Kwa upande wangu mimi umri wangu ni 36 nimeajiliwa ninakipato cha kuweza kumudu kuhudumia familia pia ninao watoto wanne.
 
Duh, watoto 4 kwa mama mmoja ama tofauti?, why usimuoe huyo mwenye watoto wako?.kunashida gani?, Ningekuja ila mechi inaanza 4-0 mmh.

Kila rakheri mkuu.
Kila mtoto na mama yake na wote wameshakweli kabisa aache uoga maana kwanza kila mtoto na mama yake pia ni wakubwa wa mwisho miaka 4
Acha uoga, kwani watoto wake unabeba mgongoni kwako, Nenda kwa mzee mwenzako mkamalizie miaka ya duniani
 
Duh, watoto 4 kwa mama mmoja ama tofauti?, why usimuoe huyo mwenye watoto wako?.kunashida gani?, Ningekuja ila mechi inaanza 4-0 mmh.

Kila rakheri mkuu.
Kila mtoto na mama yake na kwa bahati mbaya au nzuri wote wameshaolewa kwahiyo ukija tunaanza upya na ww hata kama tutajaaliwa wanne au watano sio mbaya please nakuomba njoo pm
 
Kila mtoto na mama yake na kwa bahati mbaya au nzuri wote wameshaolewa kwahiyo ukija tunaanza upya na ww hata kama tutajaaliwa wanne au watano sio mbaya please nakuomba njoo pm
Kwahiyo hao mama wote hukuona wife material hata mmoja umuoe??, naogopa nisijekuwa mama wa mtoto mwingine.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom