Natafuta mke wa pili

IHOLOMELA

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,807
1,672
mimi ni mtu wa makamo, nina miaka 32, natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuwa mke wangu wa pili. ambaye anaona anaweza akaribie. siangalii umri, dini, rangi wala kabila. nitajibu atakaeni-pm tu... kumbukeni kuwa wanaume wengi wamekuwa mashoga hivyo marijali na waowaji tumebaki wachache, wahini jamani sitanii.
 
Mhhhhh!Kweli umeamua
 
miaka 32 sio mtu wa makamo ni kijana sana. umri huo bado ni memba halali wa bavicha au uvccm :)
 
taja sababu ya kuoa mke wa pili, waisilamu wengu hupenda kuoa mke wa pili lakini hawana sababu muhimu ya kuoa mke wa pili
sababu sitosheki kwa mke wangu (kitandani, mie nataka bao nne yeye moja tu na hataki kuendelea na mchezo) ndio maana nataka kuongeza mwingine
 
lazima umwambie mkeo shida hiyo sio kuharakisha pengine mkeo anakuekea na kesho jaribu kumueleza kua humalizi hamu na unashindwa kwenda nje vipi kama utapendelea kuongeza mke wa pili?
sababu sitosheki kwa mke wangu (kitandani, mie nataka bao nne yeye moja tu na hataki kuendelea na mchezo) ndio maana nataka kuongeza mwingine
 
mimi ni mtu wa makamo, nina miaka 32, natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuwa mke wangu wa pili. ambaye anaona anaweza akaribie. siangalii umri, dini, rangi wala kabila. nitajibu atakaeni-pm tu... kumbukeni kuwa wanaume wengi wamekuwa mashoga hivyo marijali na waowaji tumebaki wachache, wahini jamani sitanii.

Ikimbie zinaa! au ulishatenda zinaa (kama sio Abdallah)
 
ayo gete olenigo jaga gofecibuku ugapandeke dwanike dosomba
gashi ogokolaga masala atale ambayanda
 
Pumavu kabisa umri wako wewe bado mtoto kabisa alafu unajiita mtu wa makamo. Miaka 32 usha mchoka mkeo, wakati wenzio miaka hiyo ndo wana wachumba, au ulioa fasion ukiwa na miaka 22?
Ukifikisha miaka 36 huyu mke wa pili nae akiwa achezi gemu vizuri kama mwazo unao wa tatu, ukifikisha 40 unaoa wa nne.
Nani kakwambia maisha ni kutom. . .na tu? Kama unataka mwenye kujua shughuli tafuta wale wa barabarani usiku unapiga vinne yeye kapiga sita ( fake orgasim) unarudi kwako powaaa.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom