IHOLOMELA
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 1,807
- 1,672
mimi ni mtu wa makamo, nina miaka 32, natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuwa mke wangu wa pili. ambaye anaona anaweza akaribie. siangalii umri, dini, rangi wala kabila. nitajibu atakaeni-pm tu... kumbukeni kuwa wanaume wengi wamekuwa mashoga hivyo marijali na waowaji tumebaki wachache, wahini jamani sitanii.