Wakuu naomba kuwasilisha ombi langu kwa wadada walioko jamvini kuwa nahitaji mke wa kuoa umri kuanzia miaka 23 hadi 29 elimu siyo kikwazo kwangu dini mkristo.
Ombi langu nimelileta likiwa na umuhimu mkubwa naomba kama unahisi halikufai basi liache kama lilivyo na nitahitaji mawasiliano kwa wale walio serious na ombi langu tu. Nafahamu kuna watu walishakwisha tangulia kuleta ombi kama hili humu ndani na hakuna walichokifanikisha zaidi ya kuwachezea akili wadada wetu ila kwa upande wangu mimi nipo serious na hili na kwa yeyote atakayeona umuhimu wa ombi langu nipo tayari kumpa namba yangu ya kiganjani kwa mawasiliano zaidi na kwenda kuongelea faragha.
Hii ni post yangu ya kwanza na ni kwa ajili ya hilo tu na pindi nikifanikiwa nitakuja hapa kushukuru wanajamii wote kuwa kupitia huu mtandao nimeweza pata mwenzi wa kufa na kuzikana
Pia tambuweni kuwa japo biblia inasema kuwa mke mzuri hutoka kwa bwana ila naamini kuwa hutoka kwa bwana kupitia njia toofauti na mojawapo ni hii.
Tafadhalini sana naomba kwa wale walio serious kwa hili ombi langu karibuni huwezi jua waweza kuwa wewe.
Hii ni kwa wadada wasipenda kuchezewa.
karibuni.