Natafuta Mke wa kuoa!!!

Mshuwa

Member
Apr 3, 2012
46
10
Wakuu naomba kuwasilisha ombi langu kwa wadada walioko jamvini kuwa nahitaji mke wa kuoa umri kuanzia miaka 23 hadi 29 elimu siyo kikwazo kwangu dini mkristo.

Ombi langu nimelileta likiwa na umuhimu mkubwa naomba kama unahisi halikufai basi liache kama lilivyo na nitahitaji mawasiliano kwa wale walio serious na ombi langu tu. Nafahamu kuna watu walishakwisha tangulia kuleta ombi kama hili humu ndani na hakuna walichokifanikisha zaidi ya kuwachezea akili wadada wetu ila kwa upande wangu mimi nipo serious na hili na kwa yeyote atakayeona umuhimu wa ombi langu nipo tayari kumpa namba yangu ya kiganjani kwa mawasiliano zaidi na kwenda kuongelea faragha.

Hii ni post yangu ya kwanza na ni kwa ajili ya hilo tu na pindi nikifanikiwa nitakuja hapa kushukuru wanajamii wote kuwa kupitia huu mtandao nimeweza pata mwenzi wa kufa na kuzikana

Pia tambuweni kuwa japo biblia inasema kuwa mke mzuri hutoka kwa bwana ila naamini kuwa hutoka kwa bwana kupitia njia toofauti na mojawapo ni hii.

Tafadhalini sana naomba kwa wale walio serious kwa hili ombi langu karibuni huwezi jua waweza kuwa wewe.

Hii ni kwa wadada wasipenda kuchezewa.

karibuni.
 
Wakuu only three members commented to my post?please seriously mke anahitajika....pm the mobile phone will be given
 
Wakuu only three members commented to my post?please seriously mke anahitajika....pm the mobile phone will be given

Mwandiko wako looks familiar though. All the best in ur search!
 
haya bwana nalo laweza kuwa jibu pia! kila kukicha nikutakiana mabaya tu!hii itaisha lini Tanzania??????????????Very sad comment!anyway it ok.keep it up
 
Mshuwa sio kila njia(method) inafanya kazi na kufanikiwa. Ila nakutakia kila la kheri.
 
Mshuwa, wewe ushachezea kina dada wangapi? I take it u r over 30; hapa katikati umewapitia wangapi; n what real happened!

Ubapotafuta, tafuta ila usiwasagie wenzako! Why should people trust u; ukizingatia hujatumia ID yako iliyozoeleka, meaning u have a lot to hide!
 
Kaunga how do you know this man...?lol
 
Last edited by a moderator:
Mshuwa, wewe ushachezea kina dada wangapi? I take it u r over 30; hapa katikati umewapitia wangapi; n what real happened!

Ubapotafuta, tafuta ila usiwasagie wenzako! Why should people trust u; ukizingatia hujatumia ID yako iliyozoeleka, meaning u have a lot to hide!

Kaunga all this will be spoken kwa huyo atakayekuwa tayari kuwa nami kuyaweka hapa kwa sasa haitasaidia kitu chochote ndio maana nimeweka wazi kuwa this is preliminary stage baada ya hapo kuna hatua nyingi kwenye mchakato mzima.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom