Natafuta mke wa kuoa

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Upo baada ya kuchoshwa na vibinti vya mtaani kukulia hela unakuja zako jf unaandika zako unatafuta mke unataja na umri kinachofuata sasa
MIJITU INAANZA
*mke mwema hapatikani mtandaoni
*Humo humo wanaume wana reply
*Wanaokuja mnashindwana umri
*Wengine unatafuta kikojoleo
*Wengine wanasema upo mbali

We dada endelea kuchagua tu utazeekea nyumbani
 
Nipo hapamimi mke mwema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom