Natafuta mke wa kuoa

Utamuwayesu

Member
Sep 30, 2018
17
45
Habari wana jf
Jina- Patrickn
Kabila-mnyakyusa
Dini-mkristo
Elimu- chuo kikuu
Urefu-5''
Rangi -maji ya kunde
Kipaji - Ufundi
Kazi -Nimeajiriwa
Natafuta mwanamke wa kuoa .Mwenye sifa zifuatazo.
Umri -20-30
Elimu- kidato cha6 nakuendelea
Kabila -lolote
Pombe- asitumie
Kazi -yeyote yenye uhalali
Urefu -(5-6)feet
Rangi _yeyote
Mtoto -akiwa naye hainashida
N:B mke anapatikana popote mtandaoni,kanisani,safarini,sokoni n.k.
Kwamwenye uhitaji kama mimi karibu pm .
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom