Natafuta mke wa kuoa

Plan Paris

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
2,957
2,000
Japo kuwa umri wako na bandiko lako vinanilazimisha nitoke nje ya mada, nikuhakikishie tu kuwa sitatoka nje ya maada,

Maoni yangu kwako ni kama ifuatavyo,
Kama kweli umedhamiria kutafuta mke na si demu, basi tumia njia ifuatayo, kama wewe ni mkazi wa Dodoma mjini jitahidi kila jumapili uwe unasali kwenye maeneo ambayo wanavyuo husali kwa wingi, baada ya hapo ongea na mchungaji amalize mambo,

Kama upo Dar jitahidi uwe unaenda kusali pale kawe kwenye kanisa la wasabato hapo kuna wanavyuo wengi husali hapo hii itakusaidia kupata mwenye degree kirahisi kabisa, wewe unachokifanya ni kuingia kiheshima moja moja kwa moja kuwa umemuona kwa muda mrefu unataka kumuoa, au tumia wachungaji.
 

mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
5,279
2,000
Hello natafuta mke wa kuoa ,Sina vigezo vingi awe na elimu kuanzia degree na kuendelea ,awe na umri 29+,umri wangu miaka 35,mkristu.kwa atae kua tyr tuwasiliane 0689425236.au pm
We miaka 29+ atakua vetrani wa ndoa lazima atakua anamtoto au anamatatizo kwenye kuzaa....sisi watanzania tunaanza hayo mambo as early as 17yrs kwahiyo miaka 12 mqshine inapigwa tu anakaribia kustaafu tena akiwa ni wa degree anaweza kujaza coaster nzima ya wanaume
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom