Natafuta mke wa kuoa mwenye nia thabiti, mwaminifu na mkweli

Utamuwayesu

Member
Sep 30, 2018
15
45
Hi JF, Naitwa Zabroni nipo mkoa wa Pwani, umri wangu ni miaka 36, Kazi nimejiajiri na kuajiriwa, Elimu yangu na shahada ya kwanza, Najitokeza kutafuta mwenza wa maisha ambaye tutafuanga ndoa, Mke awe na vigezo vifuatavyo.

Umri 23-30,Elimu kidato Cha nne nakuendelea, kazi yeyote ambayo ipo kihalali, dini yeyote asiwe mrefu sana kwani Mimi ni mrefu wastani, Wasiliana nami kwa pm au kwa email.maljphnson02@gmail.com ni kwa yule ambaye yupo serious na mwenye Nia thabiti pia mwenye hofu ya Mungu Maana mke anapatikana popote.

Karibu Sana tuanzishe maisha ya ndoa, ndoa ni paradiso ndogo ya hapa duniani (ndoa ni baraka, furaha, kuaminiana n.k)
 

SHIMBA YA BUYENZE

JF-Expert Member
Dec 22, 2014
141,640
2,000
Kila la heri kamanda
Screenshot_20210314-195144_Chrome.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom