Natafuta mke wa kuoa/maisha

Spark

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
842
1,000
1. Awe Dar
2. Awe mkristo
3. Awe ameajiriwa serikalini
4. Umri 26_33.
5. Mpenda maendeleo,mchapakazi na mcha Mungu,mkwel
6. Asiwe mlevi
7. Single mom ntamfikiria
8. Asiwe omba omba/mpigavizinga.

NB: Siwezi kutu ma nauli au vocha
Mengine tutavumiliana.

KUHUSU MIMI_UMRI 33, Mkristo, Mengine tutajuzana, PM tuyajenge zaidi..plz nahitaji mdada aliyeserious
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom