Natafuta mke wa kuoa jamani, namaanisha maana umri unanikimbiza. *nipo serious*

hakuna mwanamke anayetaka mwanaume mweny akil ndogo,n sory to say it but nahic akili yako ni ndogo,umemaliza chuo hujapata kazi,badala ya kufanya mishe mishe ya hela,unabaki kusema income ipo ila c kivile,elimu yako imekusaidia nini?na inavyoonekana bado una mawazo ya kuajiriwa cz we ajira ndo unaona ni kitu pekee cha kukupa hela!unaajiriwa na mshahara wa 600,000 ina maana kwa siku ni 20000,hyo sasa ndo income kivile?jitume kwa bidii one year unasimama fresh acha mawazo ya ndoa kwa mwanaume mpaka 35 yrs bdo unaoa bila shida kabisa tena mdada hta wa 20 yrs...Wadada hatutak shida siku hzi ndo maana na sisi tunafanya kazi kwa bidii...

Dah! nisamehe kwa hili, wew inaelekea ni kilaza full, upo kama remote controll maana hujitambui na unaelekea unapenda vya bure kwa wanaume sana, unaweza kukuta vyanzo ninavyosema kivilee kwako ni bonge la mradi ila kwa upande wangu ni kidogo, maana matumaini yangu ni over expectation, naweza kua na 70mll nikaona bado kutokana na malengo yangu, sitaki kuajiriwa na hivyo vi 600,000= kwa mwezi wakati elimu yangu inaniwezesha kuendesha mirad yangu na kupata zaid ya 1ml kwa mwezi, elimu yako niyakufikiria kutumikia wengine tu, alaaaaaaa!
 
Matunzo utampa nn sasa kijana
Kinachonisikitisha ni pale watu wanasema utaoaje bila kazi, mi sijaajiriwa ila nina miradi mitatu dar mmoja, arusha miwili japokua wanaoiendesha wanakula hapo kidogo ila account atleast zinasomeka hadi nshaanza kuota kitambi kwa kurizika jinsi mambo yanavyoenda,
 
Kwa ushauri wangu nenda fb kisha fungua acount yako pale add ladies tu tena wengi halafu anza kuchati nao then omba namba kisha omba appointment ya kumeet then meet the tongoza then kubalika then oa then zaa the ndoto yako inakuw true.....very simple like that

mh! fb ndo wapi mkuu
 
Wapenzi wa jf mimi ni kijana wa 29yrs ni mhitimu wa chuo kikuu lakini kazi bado, natafuta mchumba wa kuoa namaanisha, awe mkristo, mcha Mungu, ajali familia yetu kama ilivyo yao, awe ametulia sio kiruka njia, kikubwa zaidi awe na shape nzuri maana maishani natamani kua na mkee aliejazia, simaanishi aliejazia sanaaa, sura nzuri sana sijalishi, sibagui elimu wala kabili ila awe na umri kuanzia 20-29, nawasilisha ndugu zangu, mbarikiwe.
sorry me nna maswali.....kwani katika pitapita zako hujaona wa kumuoa au unahisi huku ndo utapata??...au umetafuta weee bila mafanikio ukaamua uje huku??
 
sorry me nna maswali.....kwani katika pitapita zako hujaona wa kumuoa au unahisi huku ndo utapata??...au umetafuta weee bila mafanikio ukaamua uje huku??
ila hata hapa ni sahihi pia, hapa ndo sehemu ya kutafuta, marafk ,wachumba nk
 
okay zombie, I wish I could have enough time to argue with you :yell::nod: but very fortunate am busy
mwenye upuuz ni wewe,imekutouch nin?ha ha ha,au ndo na wewe ni mlengwa,pole sana,tena sanaaa!!me najithamin sana,ndo maana cwez kuwa na mtu zisiyemtosha kwa kichwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom