Natafuta mke wa kuoa jamani, namaanisha maana umri unanikimbiza. *nipo serious*

Mbona unaniogopesha tena mkuu, kuhusu kazi haijalishi maana kama kipato ninacho tena fresh tu, kusema sina kazi haimaanishi sina pesa namaanisha mi sio mwajiriwa.
Tena mimi sitaki waajiriwa, nataka waajiri. Kama wewe ni muajiri basi niambie nikuPM swali langu linalohusu size ya maumbile yako.
 
Yaani shule zoote na vyuo hukupata hata watu wa kuwekeana ahadi za kuishi pamoja hata kama zile za kishule shule kufanya siku ziende?unakuja kutafuta umeshamalizana!na uko mtaani!nakushauri ujiunge na kwaya kanisani kwenu uanzie hapo!
 
hili nalo neno
 
Wapenzi wa jf mimi ni kijana wa 29yrs ni mhitimu wa chuo kikuu lakini kazi bado, natafuta mchumba wa kuoa namaanisha, awe mkristo, mcha Mungu, ajali familia yetu kama ilivyo yao, awe ametulia sio kiruka njia, kikubwa zaidi awe na shape nzuri maana maishani natamani kua na mkee aliejazia, simaanishi aliejazia sanaaa, sura nzuri sana sijalishi, sibagui elimu wala kabili ila awe na umri kuanzia 20-29, nawasilisha ndugu zangu, mbarikiwe.
Ushauri wa bure; Tafuta kazi kwanza ili ujihakikishie uwezo wa kumtunza huyo mke unayemtafuta. Vinginevyo utaishia "kuolewa" na mwanamke.
 
Teh teh teh teh kaz kwanza. Lkn ulipopta pote ujapta? Au ulikuwa unfb na kutweet watoto wa wat? Lol
 
Kazi kweli bado, ila maisha ya ndoa sio kigezo lazima uwe na kazi tu, maa kwa wale wasio na kazi wasingeoa, enda ikawa kuna source nyingine ya income lakini sio kivileeee.

Kila la kheri ndugu. Wataku PM tu wenye nia
 
Ushauri wa bure; Tafuta kazi kwanza ili ujihakikishie uwezo wa kumtunza huyo mke unayemtafuta. Vinginevyo utaishia "kuolewa" na mwanamke.

Sina kazi namaanisha sijaajiriwa ila kama kipato mbona niko poa tu tena sana tuu, kama kawa kabila letu huwezi kuoa bila kujiimarisha kimaisha kwanza, siwezi kuolewa nipo fit mbaya, kusema bado sina kazi technic ya kumpata binti mwenye upendo wa thati na sio mwenye tamaa na pesa zangu.
 
Kila la kheri ndugu. Wataku PM tu wenye nia

Nashukuru mkuu, kwa harakaharaka nimegundua mabiti wa siku hisi wanachoangalia ni pesa na kipato cha mwanaume tu na sio upendo wa dhati du! wanaume tunashughuli ngum hapa kumpata mwezi wa dhati
 
ulikuwa hujui?

Kumpata mchumba au mke ukiwa masomoni inategemea na mtu mwenyewe, nlienda masomoni kusoma tu,na sio jambo jingine. sa nimemaliza masomo naingia stage nyingine ya kutaka kuoa, sikutaka kuchanganya mapenzi na masomo maana najijua nigepoteza kimoja yaani masomo na sikutaka hilo ningejiaribia maisha bure, *one step at the time*
 
Nashukuru mkuu, kwa harakaharaka nimegundua mabiti wa siku hisi wanachoangalia ni pesa na kipato cha mwanaume tu na sio upendo wa dhati du! wanaume tunashughuli ngum hapa kumpata mwezi wa dhati

Ndio maana yake. Utajifunza mengi tu kadri siku zinavyosonga. By the way wenye nia watakuja tu
 
Teh teh teh teh kaz kwanza. Lkn ulipopta pote ujapta? Au ulikuwa unfb na kutweet watoto wa wat? Lol

Nathani kazi sio suluu ya kuoa, chamsingi unaweza ukaprovide all necessities? maana kusema sina kazi simanishi sina pesa nina source nyingi tu za pesa na nipo fit mbaya zaidi ya unavyofikiria, nlipopita nimewaona wengi sana, ila mda ulikua haujafika kwa sasa naona ndo muda muafaka *one step at the time* nlikua najiimarisha kwanza kiuchumi mkuu
 
Wapenzi wa jf mimi ni kijana wa 29yrs ni mhitimu wa chuo kikuu lakini kazi bado, natafuta mchumba wa kuoa namaanisha, awe mkristo, mcha Mungu, ajali familia yetu kama ilivyo yao, awe ametulia sio kiruka njia, kikubwa zaidi awe na shape nzuri maana maishani natamani kua na mkee aliejazia, simaanishi aliejazia sanaaa, sura nzuri sana sijalishi, sibagui elimu wala kabili ila awe na umri kuanzia 20-29, nawasilisha ndugu zangu, mbarikiwe.

profilepic112514_1.gif
bila shaka huyu atakufaa
 
Nathani kazi sio suluu ya kuoa, chamsingi unaweza ukaprovide all necessities? maana kusema sina kazi simanishi sina pesa nina source nyingi tu za pesa na nipo fit mbaya zaidi ya unavyofikiria, nlipopita nimewaona wengi sana, ila mda ulikua haujafika kwa sasa naona ndo muda muafaka *one step at the time* nlikua najiimarisha kwanza kiuchumi mkuu
Nimekuelewa sana mkuu, kumpata mwanamke mwenye mapenzi ya dhati kwako na familia yako ni vigumu sana kwani walio wengi wamechoka na maisha yao wenyewe sasa ukimwongezea tena na yako na watoto ni wazi atachanganyikiwa kabisa. Kuna asilimia ndogo saaaaaaaaaaaaaaaana ya wake ambao wanajitambua na kweli wanafit idara zote ila nina wasiwasi kama wanapatikana humu kwani wengi wa huku kila mmoja anajua ujazo wa ndoo yake mwenyewe.....Nisikukatishe tamaa ila hili liwe kama changamoto wakati unapokea barua za waombaji wa nafasi. Pia ungeniuliza kama ulipaswa kuwa na mchumba kabla ya kumaliza elimu yako, ni mhm sana ila pambana bado hujachelewa sana.
 
Wapenzi wa jf mimi ni kijana wa 29yrs ni mhitimu wa chuo kikuu lakini kazi bado, natafuta mchumba wa kuoa namaanisha, awe mkristo, mcha Mungu, ajali familia yetu kama ilivyo yao, awe ametulia sio kiruka njia, kikubwa zaidi awe na shape nzuri maana maishani natamani kua na mkee aliejazia, simaanishi aliejazia sanaaa, sura nzuri sana sijalishi, sibagui elimu wala kabili ila awe na umri kuanzia 20-29, nawasilisha ndugu zangu, mbarikiwe.

hakuna mwanamke anayetaka mwanaume mweny akil ndogo,n sory to say it but nahic akili yako ni ndogo,umemaliza chuo hujapata kazi,badala ya kufanya mishe mishe ya hela,unabaki kusema income ipo ila c kivile,elimu yako imekusaidia nini?na inavyoonekana bado una mawazo ya kuajiriwa cz we ajira ndo unaona ni kitu pekee cha kukupa hela!unaajiriwa na mshahara wa 600,000 ina maana kwa siku ni 20000,hyo sasa ndo income kivile?jitume kwa bidii one year unasimama fresh acha mawazo ya ndoa kwa mwanaume mpaka 35 yrs bdo unaoa bila shida kabisa tena mdada hta wa 20 yrs...Wadada hatutak shida siku hzi ndo maana na sisi tunafanya kazi kwa bidii...
 
wewe nawe una upuuzi wako mwingi tu kichwani, jitathminijanee
hakuna mwanamke anayetaka mwanaume mweny akil ndogo,n sory to say it but nahic akili yako ni ndogo,umemaliza chuo hujapata kazi,badala ya kufanya mishe mishe ya hela,unabaki kusema income ipo ila c kivile,elimu yako imekusaidia nini?na inavyoonekana bado una mawazo ya kuajiriwa cz we ajira ndo unaona ni kitu pekee cha kukupa hela!unaajiriwa na mshahara wa 600,000 ina maana kwa siku ni 20000,hyo sasa ndo income kivile?jitume kwa bidii one year unasimama fresh acha mawazo ya ndoa kwa mwanaume mpaka 35 yrs bdo unaoa bila shida kabisa tena mdada hta wa 20 yrs...Wadada hatutak shida siku hzi ndo maana na sisi tunafanya kazi kwa bidii...
 
Tena mimi sitaki waajiriwa, nataka waajiri. Kama wewe ni muajiri basi niambie nikuPM swali langu linalohusu size ya maumbile yako.
Size ya maumbele yapi tena mumieeeee, funguka hapo nikuelewe bana.
 
Kwa ushauri wangu nenda fb kisha fungua acount yako pale add ladies tu tena wengi halafu anza kuchati nao then omba namba kisha omba appointment ya kumeet then meet the tongoza then kubalika then oa then zaa the ndoto yako inakuw true.....very simple like that
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom