Natafuta mke wa kumuoa ili tusaidiane maisha maana ni magumu peke yangu

Hongera kwa kujitambua na kuona umefikia mahali pa kuhitaji mwenza.

Mungu akuongoze upate unayemtaka.
Tahadhari; Mke hatafutwi kwa mtindo ulioweka hapo, huo ni utaratibu wa kutafuta mfanyakazi ambapo unaweza kumfukuza wakati wowote atakaposhindwa kutimiza hayo masharti.

Kwa upande wa kutafuta mke unaanza kwa kumwona akakuvutia, ukampenda.
Mkiafikiana mnaanza kila mmoja kujifunza tabia za mwingine na kurekebisha mapungufu (uchumba). Mkiona mmekaa sawa mnaoana.
Huu mtindo mpya wa mitandaoni ni nadra sana kupata atakayeujaza moyo wako..Mungu tu aingilie kati.
Mimi naamini ntampata aliye bora humu humu sababu hakuna sehemu iliyo andikwa kuwa make mwema au ukitaka kuoa uende mahali fulan ndo kuna wake bora jibu ni hakuna
Hvyo basis kama yesu alivyo sema kwamba imani yako itakuponya basi mm naamini ntapata make bora humu humu
 
AsaUOTE="Lucas philipo, post: 36354362, member: 451747"]
HONGERA sana kwa uwazi huo, nikushauri kwenye sifa tajwa jitahidi nawewe uwe nazo, hii utakujengea kujiamini, wengi tunatabia ya kuweka vigezo ambavyo binafsi huwezi kuziishi, jambo la MUHIMU kuliko yote ni kumtegemea muumba kwani bila Mungu utabaki kutafuta kila siku mwenye vigezo na kamwe hutompata, jiamini, jisahihishe wewe kwanza, kuwa mpya, penda ndugu na jamaa wa mwanamke utakayekuja kuishi naye, kuwa na hofu ya Mungu .

Na imani utafanikiwa!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[/QUOTE]
Asante mkuu kwa kunitia moyo naamini nitashinda kwa kishindo
 
TE="Tate Mkuu, post: 36355232, member: 535381"]
Kwenye kigezo hicho nimekielezea pia. Unatakiwa uoneshe muelekeo wako/mipango yako ya baadae, kwa sasa unafanya kazi/shughuli gani, nk.

Lakini ukiegemea tu kwenye kigezo cha kutaka aje msaidiane kupambana na ugumu wa maisha, aisee watakukimbia. Hayupo mwanamke anayependa kuishi maisha ya shida! Huo ndiyo ukweli.
[/QUOTE]
Sio kwamba sina dira no Dora ninayo but nmeweka vgezo ambavyo lazma atakae vikubali atakua mwanamke mwema
Maana hajali mm Nina nini nafanya nn kwa sawa Ila yeye atahtaji kunijua said hapo ndipo tutapanga yetu
 
Atamsaidia kivipi mkuu mi sijakusoma yule anasema maisha magumu halafu hicho kitendo anachotaka kufanya ni suicide we mdanganye tu.
Kumpeleka/ kumsindikiza clinic.
Kumpa faraja.
Kuna wakati mjamzito hawezi kufanya kazi, mume atampikia, atamfulia, atamwogesha.
Pia kuna zile kero za mimba, mwanaume atazivumilia hata akitumwa usiku akatafute embe ataenda.
Mpaka hapo bado tu haujamsaidia mke wako?

Mimi naona huku ni kusaidiana majukumu na kama mwanaume akiweza kufanya yote haya mimi sioni tatizo kumsaidia na yeye.
 
Uko sahih kabisaaa
 
Sikupingi hata kidogo kama ni kusiaidiana kama hivyo nakubali kipindi hicho mwanamke atahitaji extra care.
Ila mimi kama mwanaume mwenzake kama anaona bado hayupo vizuri financially kumpa mimba mwanamke ni hatari unless uwe na moyo wa chuma usimjali hapo utaishi poa.
 
Mwanamke akiwa na kipato haina shida Below 40. Ndi maana anatafuta anayejiweza kidogo asiye tegemezi kabisa.

Kwa mfano wewe unafanya kazi unapata kipato hata kama ni kidogo na mpenzi wako anafanya kazi anapata kipato hata kama ni kidogo, mkipendana kweli maisha yanakuwa marahisi sana. Cha msingi ni kuishi kuendana na kipato chenu.
 
Sawa
 
Unatafuta mke wa kusaidiana maisha? Mimba pia utasaidia kubeba?

Wake ni wa kuwaoa na kuwahudumia tu. Kama maisha ni magumu ukiwa peke yako jua yatakua magunu zaidi ukioa na kuongeza watoto.

Katafakari tena dhumuni lako la kutafuta mke.
Uttarra
 
TE="Tate Mkuu, post: 36355232, member: 535381"]
Kwenye kigezo hicho nimekielezea pia. Unatakiwa uoneshe muelekeo wako/mipango yako ya baadae, kwa sasa unafanya kazi/shughuli gani, nk.

Lakini ukiegemea tu kwenye kigezo cha kutaka aje msaidiane kupambana na ugumu wa maisha, aisee watakukimbia. Hayupo mwanamke anayependa kuishi maisha ya shida! Huo ndiyo ukweli.
Sio kwamba sina dira no Dora ninayo but nmeweka vgezo ambavyo lazma atakae vikubali atakua mwanamke mwema
Maana hajali mm Nina nini nafanya nn kwa sawa Ila yeye atahtaji kunijua said hapo ndipo tutapanga yetu

Tukianza kuimagin tutafel
 
HONGERA sana kwa uwazi huo, nikushauri kwenye sifa tajwa jitahidi nawewe uwe nazo, hii utakujengea kujiamini, wengi tunatabia ya kuweka vigezo ambavyo binafsi huwezi kuziishi, jambo la MUHIMU kuliko yote ni kumtegemea muumba kwani bila Mungu utabaki kutafuta kila siku mwenye vigezo na kamwe hutompata, jiamini, jisahihishe wewe kwanza, kuwa mpya, penda ndugu na jamaa wa mwanamke utakayekuja kuishi naye, kuwa na hofu ya Mungu .

Na imani utafanikiwa!!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Umeongea point sana...unaonekana una akili sana we...kama uneoa mke wako atakuwa anafaidi mawazo mazur kutoka kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom